Pages

Tuesday, December 31, 2013

WATOTO WAFANYIWA UKATILI WA KUTISHA.... Soma zaidi hapa

"TUNAJUA shangazi anatutesa Kwa sababu baba na mamma wapo Mbali, kama wangekuwepo Hapa tusingeteswa hivi. Tunamuomba baba, tunamuomba Mama kama watasoma van inligting hii waje watuchukue turudi nyumbani, shangazi anatutesa sana, wala hatukutegemea, "ndivyo alivyoanza kusema mtoto Hassan Yusuf (5) ambaye ni mkubwa Kwa wenzake, Hussein Yusuf (5) na Rehema Said (5).


Ikifika Magli mtoto mdogo anasema anawakumbuka wazazi nasleep Kwa sababu ya mateso anayoyapata ugenini ujue ni Zaidi ya ukatili, Tena ni ukatili wa kutisha.
Watoto hao, Kwa sasa wanaishi Nzasa 'A', Kata ya Charambe, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam na ndiko walikopatia mateso stemreg. 
 

Mambo YALIPOANZA KUTIBUKA
Wiki iliyopita, watoto hao waliokolewa na majirani katika kifungo cha miezi SITA ndani Huku afya ZAO zikiwa zimedhoofu Kwa kukosa Kos. 
 

Ilidaiwa kwamba, watoto hao Hassan Hussein na ambao ni mapacha na Rehema, walifungiwa katika Banda la shangazi yao aitwaye Asië Bora ambalo Konstruksie nasleep haujakamilika.Wamekuwa wakiishi Humo Kwa kula mabaki ya vyakula jalalani.  

USHUHUDA WA MAJIRANI
Wakizungumza na gazeti Hill hivi karibuni, majirani wa nyumba Hiyo walimweleza mwandishi wetu kuwa watoto hao wamekuwa wakionekana nje ya nyumba Hiyo Mara chache sana wakiwa wanagombania mabaki ya vyakula kwenye jalala. 
 

"Tumekuwa tukiwaona uitvoerders Mara chache kwenye jalala. Unajua, Asië (shangazi yao) aliwachukua Kwa Kaka yake, Kijiji cha Namakongoro Kata ya Lihimalyao huko Kilwa mkoani Lindi. 

"Tukasikia lengo meer AJE kuishi nao Kwa veragtelike Yeye Mungu hamkujalia kupata watoto. . Lakini Maisha hapo kwake yakawa Siyo mazuri Kwa Kwa kipato Mama huyo  

Mmoja wa majirani hao aliyejitambulisha Kwa Jina la Aisha Ramadhan Yeye alikwenda Mbele Zaidi Kwa kusema: 

"Hapo Awali tulikuwa tukiwaona wakitoka uitvoerders na kucheza na watoto wetu Huku wakiwa na afya nzuri. Asië akatueleza kuwa ni watoto wa nduguye, amewachukua huko kijijini.  

"Baada ya Muda Fulani tukawa hatuwaoni, tulidhani amawarudisha kwao, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinakwenda Mbele tukawa tunawaona Mara chache wakiwa jalalani wanapigania mabaki ya Kos. 

"Kuna siku Mimi niliwakamata wakiwa wamebeba mfuko wa Rambo wenye kinyesi, walikuwa wanakuja kutupa katika maeneo Yetu, nikawarudisha nao Kwa shangazi yao. Kumbe nyumba wanayoishi Haina choo ndiyo maana wamekuwa wakijisaidia kwenye Rambo.  

"Siku moja walipotoka nje kutafuta Kos jalalani, Mimi na majirani wenzangu tuliwauliza wanaishije? Wakatuambia hawapewi Kos na shangazi yao akitoka asubuhi harudi mapema, akirudi inakuwa ni usiku sana WAO wakiwa wameshalala.  

"Inasikitisha sana kuwaona watoto hawa wanaachwa Pekinees yao kutwa nzima Bila MTU wa kukaa nao na wamekuwa wakifungiwa ndani Kwa Muda mrefu SASW, ila HUWA wanakiuka masharti na . uit Kwa ajili ya kutafuta mabaki ya Kos  

Jirani huyo akaendelea kuanika mateso ya hao watoto: "Kwa kuwaonea huruma tumekuwa tukilazimika kuwapa Kos, lakini Asië anaporudi na kugundua Hilo anawapiga, Kwa Hiyo wakawa waoga kuja kuchukua Kos. . Mimi niliumia Hadi machozi "  

Jirani: ". Baadaye wakawa hawaonekani, lakini cha ajabu Mara nyingi tukiamka asubuhi tunakuta mifuko ya Rambo yenye vinyesi imetapakaa, tukimweleza Asië inakuwa ugomvi 

"Siku moja baada ya shangazi yao kuondoka, nilikwenda kuwachungulia ndani, nikawaona wamekonda sana, wamepauka na wamevaa nguo zilizochakaa.  

"Nilitokwa machozi, nililazimika kuwaita wenzangu nao walipofika Hakuna aliyejizuia kulia.Tukasema hawa watoto watakufa, ndiyo tukaamua kuwaokoa Kwa kupeleka VERSLAG Kwa mzee Dadi Salum ambaye ni Polisi Kategorie wa Hapa.  

Polisi Kategorie Naye ALIA
"Mzee Dadi naye alipofika na kuwaona Kwa macho alilia, Watu wakaanza kukusanyika, tukawatoa nje watoto, KILA mmoja aliwaonea huruma. Tuliwachukua Hadi Ofisi ya ya Serikali MTAA wa Nzasa A. 
 

SHANGAZI MTU ANUSURUKA KIPIGO
"Hatujui ni nani aliyempigia Mobiele Asië, kwani Muda mfupi tu tukasikia YUPO nyumbani kwake. Uongozi wa MTAA ulimfuata, walipofika, wanawake wenzake HASA Wale anaochukua nao mkopo wa fedha benki walitaka kumpiga wakimuuliza pesa anapeleka wapi. 
 

"Hata hivyo aliokolewa na Polisi Kategorie ambao walimchukua na kumweka katika Bajaj na kumpeleka Kituo cha Polisi Mbagala kwenye Dawati la Jinsia na Watoto, watoto nao Pia walipelekwa huko. " 

Naye Mwenyekiti wa Serikali ya MTAA wa Nzasa A, Mrisho Salum alikiri kuwapokea watoto hao wakiwa katika hali mbaya kiafya, wakapelekwa Polisi. Akawataka Wananchi kutokaa KIMYA Mara wanapoona vitendo kama hivyo.  

Mwandishi alifika Hadi kituo cha Polisi na kuambiwa na askari mmoja kuwa mapacha walichukuliwa na MTU aliyejitambulisha Kwa Jina la Othman Mbwana aliyedai ni Babu yao. 

Mbwana alidai kwamba ameamua kuwachukua watoto hao wakaishi nyumbani kwake wakati akifanya mawasiliano na wazazi WAO. 
 "Kwanza nitawapeleka hospitalisasie wakatazamwe afya ZAO, ila nimesikitishwa sana na hali hii, sijajua ni Kwa Nini watoto hawa wamefikia hatua hii," alisema Mbwana. 

Rehema Yeye alichukuliwa na mjomba wakker aitwaye Sood Ismail ambaye alidai anakwenda kukaa naye Hadi hapo atakapofanya mawasiliano na wazazi wa huyo mtoto, akisema kitendo cha-Asië kimeidhalilisha familia.  

RPC TEMEKE ATUPIA Neno
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo amewataka Wananchi kufichua vitendo viovu ndani ya Kategorie na amewapongeza vijana nasleep wa ulinzi shirikishi kuokoa Maisha ya hao watoto.
 

No comments:

Post a Comment