Pages

Tuesday, December 31, 2013

Martin Kadinda amemzungumzia Jackie Cliff aliekamatwa na dawa za kulevya China.





Martin JackieKatika stori za Tanzania zinazomiliki vichwa vya habari na hii ya kukamatwa kwa Jackie Cliff ambae ni mrembo alietokea kwenye video kadhaa za wasanii wa bongofleva imo.
Martin Kadinda ambae wamefahamiana na kuwa marafiki na Jackie kwa zaidi ya miaka 10 ameongea Exclusive na AyoTV na kueleza machache ya moyoni kuhusu Jackie ambae mpaka sasa hajui yuko kwenye hali gani.
jackie martin 2Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni pamoja na ni lini mara ya mwisho waliongea? kama wameongea toka taarifa za kukamatwa na Jackie ameakua akisema nini kuhusu kufanya biashara ya dawa za kulevya.
Kingine kikubwa alichokizungumzia Martin ni kuhusu status ya BBM ya wosia aliyoiandika Jackie iwapo atakufa, status ambayo blogs na baadhi ya vyombo vya

WATOTO WAFANYIWA UKATILI WA KUTISHA.... Soma zaidi hapa

"TUNAJUA shangazi anatutesa Kwa sababu baba na mamma wapo Mbali, kama wangekuwepo Hapa tusingeteswa hivi. Tunamuomba baba, tunamuomba Mama kama watasoma van inligting hii waje watuchukue turudi nyumbani, shangazi anatutesa sana, wala hatukutegemea, "ndivyo alivyoanza kusema mtoto Hassan Yusuf (5) ambaye ni mkubwa Kwa wenzake, Hussein Yusuf (5) na Rehema Said (5).

Saturday, December 28, 2013

Wabunge wajisalimisha madawa ya kulevya.... SOMA ZAIDI HAPA

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste, William Mwamalanga

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste, William Mwamalanga

Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa  CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya kidini inayojihusisha na maadili nje na ndani ya makanisa.

Saturday, December 21, 2013

SOMA HII..... MWALIKO KWA MAKUNDI MBALIMBALI KUPENDEKEZA MAJINA YA WATAKAOTEULIWA KUWA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

1887Jakaya-Kikwete
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
TANZANIA INFORMATION SERVICES
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  anapenda kutoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na waziozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2A) cha kifungu cha 22 cha sheria ya Mabadiliko ya Katiba, sura ya 83 kinachomtaka Rais kuwaalika kila kundi lililoainishwa chini ya kifungu kidogo cha (1) (c) kutoka pande zote za Muungano kuwasilisha kwake orodha ya majina yasiyopungua 4 na yasiozidi 9 kwa ajili ya kuzingatiwa katika uteuzi.
Makundi hayo ni kama ifuatavyo:
  1. Taasisi zisizokuwa za Kiserikali
  2. Taasisi za kidini
  3. Vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu
  4. Taasisi  za elimu ya juu
  5. Makundi yenye ulemavu
  6. Vyama vya wafanyakazi
  7. Vyama vinavyowakilisha wafugaji
  8. Vyama vya wakulima
  9. Vyama vinavyowakilisha wavuvi
  10. Makundi mengine yenye malengo yanayofanana
Katika kuwasilisha majina hayo, makundi yaliyoalikwa yatalazimika kuonesha umri, jinsia, uzoefu, sifa na sehemu ya makazi ya mtu aliyependekezwa ikiwa ni pamoja na kuzingatia usawa wa kijinsia.
Mheshimiwa Rais ameelekeza kuwa orodha ya majina yanayopendekezwa yawasilishwe kwa maandishi ama kwa kupeleka kwa mkono au kutumia huduma ya posta kwa anuani zifuatazo:
  1. Katibu Mkuu Kiongozi,
Ofisi ya Rais, Ikulu,
S.L.P. 9120,
DAR ES SALAAM
  1. Katibu Mkuu Kiongozi,
Ofisi ya Rais,
S.L.P. 4224,
ZANZIBAR
Mwisho wa kupokea orodha ya majina hayo nitarehe 02 Januari, 2014

HABARI NA PICHA!!!!!!!!!! EXCLUSIVE TAZAMA PICHA JINSI MSANII DIAMOND ALIVYOTAMBULISHA VIDEO YAKE MPYA "NUMBER ONE RMX FT DAVIDO"

Kama nilivyotangulia kusema awali kuwa,hawa

 watoto ndiyo mashabiki wetu wakubwa,na mara 
nyingi hawapati fursa ya
 kuhudhuria maonyesho yetu
 ama kukutana na
 sisi..hivyo kutokana na kuwa awali,video 

ya