Pages

Tuesday, December 31, 2013

Martin Kadinda amemzungumzia Jackie Cliff aliekamatwa na dawa za kulevya China.





Martin JackieKatika stori za Tanzania zinazomiliki vichwa vya habari na hii ya kukamatwa kwa Jackie Cliff ambae ni mrembo alietokea kwenye video kadhaa za wasanii wa bongofleva imo.
Martin Kadinda ambae wamefahamiana na kuwa marafiki na Jackie kwa zaidi ya miaka 10 ameongea Exclusive na AyoTV na kueleza machache ya moyoni kuhusu Jackie ambae mpaka sasa hajui yuko kwenye hali gani.
jackie martin 2Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni pamoja na ni lini mara ya mwisho waliongea? kama wameongea toka taarifa za kukamatwa na Jackie ameakua akisema nini kuhusu kufanya biashara ya dawa za kulevya.
Kingine kikubwa alichokizungumzia Martin ni kuhusu status ya BBM ya wosia aliyoiandika Jackie iwapo atakufa, status ambayo blogs na baadhi ya vyombo vya
habari Tanzania vimeitumia kwa kusema Jackie aliiandika baada ya kukamatwa na dawa za kulevya.
Kuisoma habari kamili bofya hapo juu........

No comments:

Post a Comment